Jinsi ya kusanidi vidhibiti vya wazazi kwa vijana kwenye WhatsApp
Jifunze jinsi ya kusanidi vidhibiti vya wazazi kwenye akaunti ya WhatsApp ya barobaro wako. Vidhibiti vya wazazi hukuwezesha kuunganisha akaunti barobaro wako ili uweze kukagua mipangilio yake ya faragha na kuchagua jinsi anavyotumia vipengele fulani.Ili kusanidi vidhibiti vya wazazi, fungua mipangilio ya WhatsApp ya barobaro wako, kisha udonoe Vidhibiti vya wazazi. Thibitisha tarehe ya kuzaliwa na umri wa barobaro wako. Kisha, changanua msimbo wa QR kwa simu yako ili kuunganisha akaunti yake, thibitisha kuwa wewe ni mtu mzima kwa kupiga selfi, na uweke PIN ya mzazi. Kamilisha usanidi kwa kuweka PIN yako ya mzazi kwenye simu ya barobaro wako, kisha kagua au ubadilishe mipangilio yake ya faragha na ruhusa za kutumia vipengele. Akaunti zenu zikiunganishwa, unaweza kupokea arifa za shughuli, kuchagua mipangilio ya faragha na kudhibiti hali yake ya matumizi kwa kurekebisha jinsi anavyotumia vipengele fulani kama vile Hali, Vituo, na Meta AI.
Ili kujifunza kuhusu jinsi ya kusanidi vidhibiti vya mzazi kwa barobaro kwenye WhatsApp, tembelea https://faq.whatsapp.com/1761199628372670
Ili kupata maelezo zaidi kuhusu vidhibiti vya mzazi kwenye WhatsApp, tembelea https://faq.whatsapp.com/1343233450663117
Ili kujifunza zaidi kuhusu jinsi ya kukagua arifa za shughuli za barobaro walio na vidhibiti vya wazazi, tembelea https://faq.whatsapp.com/1056875583669333
Kwa #VidokezovyaWhatsApp zaidi, jiandikishe kwenye kituo chetu cha YouTube: https://www.youtube.com/user/WhatsAppInc
Endelea kuwasiliana kwenye WhatsApp
Penda WhatsApp kwenye Facebook: https://www.facebook.com/WhatsApp
Fuata WhatsApp kwenye Instagram: https://www.instagram.com/whatsapp
Fuata WhatsApp kwenye X: https://X.com/whatsapp
#WhatsApp #Messaging #Privacy #ParentalControls #WhatsAppPrivacy #TeenSafety #OnlineSafety #ParentingTips Receive SMS online on sms24.me
TubeReader video aggregator is a website that collects and organizes online videos from the YouTube source. Video aggregation is done for different purposes, and TubeReader take different approaches to achieve their purpose.
Our try to collect videos of high quality or interest for visitors to view; the collection may be made by editors or may be based on community votes.
Another method is to base the collection on those videos most viewed, either at the aggregator site or at various popular video hosting sites.
TubeReader site exists to allow users to collect their own sets of videos, for personal use as well as for browsing and viewing by others; TubeReader can develop online communities around video sharing.
Our site allow users to create a personalized video playlist, for personal use as well as for browsing and viewing by others.
@YouTubeReaderBot allows you to subscribe to Youtube channels.
By using @YouTubeReaderBot Bot you agree with YouTube Terms of Service.
Use the @YouTubeReaderBot telegram bot to be the first to be notified when new videos are released on your favorite channels.
Look for new videos or channels and share them with your friends.
You can start using our bot from this video, subscribe now to Jinsi ya kusanidi vidhibiti vya wazazi kwa vijana kwenye WhatsApp
What is YouTube?
YouTube is a free video sharing website that makes it easy to watch online videos. You can even create and upload your own videos to share with others. Originally created in 2005, YouTube is now one of the most popular sites on the Web, with visitors watching around 6 billion hours of video every month.