Jinsi ya kuweka na kufuatilia udhibiti wa wazazi kwa akaunti zinazodhibitiwa na mzazi | WhatsApp
Akaunti zinazodhibitiwa na wazazi kwenye WhatsApp huja na vidhibiti vya wazazi vilivyojumuishwa kwenye programu ili kuwawezesha wazazi na walezi kudhibiti utumiaji wa mtoto wao kwenye WhatsApp.Vidhibiti vya wazazi vya WhatsApp vya akaunti zinazodhibitiwa na wazazi huwaruhusu wazazi kuweka vidhibiti vinavyofaa kwa ajili ya mtoto wao, kama vile:
Usimamizi wa waasiliani: Wazazi wanaweza kuchagua ni nani anayeweza kuwasiliana na mtoto wao na kuamua ni vikundi gani mtoto wao anaweza kujiunga.
Mipangilio ya faragha: Wazazi pekee ndio wanaweza kufikia na kurekebisha mipangilio hii kulingana na mahitaji ya familia zao.
Arifa za usalama: Wazazi wanaweza kupokea arifa kuhusu masasisho muhimu kuhusu shughuli za akaunti ya mtoto wao.
Ili kupata maelezo zaidi kuhusu udhibiti wa wazazi kwa akaunti zinazodhibitiwa na wazazi kwenye WhatsApp, tembelea https://faq.whatsapp.com/1201762518588626/
Ili kujifunza jinsi ya kutazama na kudhibiti mipangilio ya faragha ya akaunti zinazodhibitiwa na wazazi kwenye WhatsApp, tembelea, https://faq.whatsapp.com/859614350128048
Kwa rasilimali zaidi kuhusu akaunti zinazodibitiwa na wazazi kwenye WhatsApp, tembelea Kituo cha Msaada wa Wazazi https://faq.whatsapp.com/894871699629864
Sura
0:00 Zana
0:13 Chagua ni nani anayeweza kuwasiliana nawe
1:07 Dhibiti mipangilio ya faragha
1:49 Simamia shughuli ya mtoto
2:28 Faragha kwa familia yako
2:28 Zuia na uripoti
2:50 Tazama vidokezo zaidi
Kwa #VidokezovyaWhatsApp zaidi, jiandikishe kwenye kituo chetu cha YouTube: https://www.youtube.com/user/WhatsAppInc
Endelea kuwasiliana kwenye WhatsApp
Penda WhatsApp kwenye Facebook: https://www.facebook.com/WhatsApp
Fuata WhatsApp kwenye Instagram: https://www.instagram.com/whatsapp
Fuata WhatsApp kwenye X: https://X.com/whatsapp
#WhatsApp #Messaging #Privacy #ParentalControls #WhatsAppkids #WhatsAppPrivacy Receive SMS online on sms24.me
TubeReader video aggregator is a website that collects and organizes online videos from the YouTube source. Video aggregation is done for different purposes, and TubeReader take different approaches to achieve their purpose.
Our try to collect videos of high quality or interest for visitors to view; the collection may be made by editors or may be based on community votes.
Another method is to base the collection on those videos most viewed, either at the aggregator site or at various popular video hosting sites.
TubeReader site exists to allow users to collect their own sets of videos, for personal use as well as for browsing and viewing by others; TubeReader can develop online communities around video sharing.
Our site allow users to create a personalized video playlist, for personal use as well as for browsing and viewing by others.
@YouTubeReaderBot allows you to subscribe to Youtube channels.
By using @YouTubeReaderBot Bot you agree with YouTube Terms of Service.
Use the @YouTubeReaderBot telegram bot to be the first to be notified when new videos are released on your favorite channels.
Look for new videos or channels and share them with your friends.
You can start using our bot from this video, subscribe now to Jinsi ya kuweka na kufuatilia udhibiti wa wazazi kwa akaunti zinazodhibitiwa na mzazi | WhatsApp
What is YouTube?
YouTube is a free video sharing website that makes it easy to watch online videos. You can even create and upload your own videos to share with others. Originally created in 2005, YouTube is now one of the most popular sites on the Web, with visitors watching around 6 billion hours of video every month.